Bongotoday

Serikali kuanzisha mradi wa ujenzi wa reli za juu kwa juu

Umekua ni usafiri mwingine mzuri na wenye starehe yake kama ukipata nafasi ya kuutumia kwenye nchi z...

Umekua ni usafiri mwingine mzuri na wenye starehe yake kama ukipata nafasi ya kuutumia kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani, Uingereza Dubai na kwengineko ambako kuna watu wengine wanategemea sana kuutumia na kuacha magari yao nyumbani na kujikuta wamewahi town na kumaliza shughuli zao manake hamna foleni.


Dar es salaam likiwa jiji la tisa kwa ukuaji duniani huku kwa Afrika likishika nafasi ya tatu, limekua na foleni kubwa ambazo mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inasema huwa kila siku inapatikana hasara ya shilingi BILIONI TATU kutokana na foleni Dar es salaam.

Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe ameongea na TBC1 na namnukuu akisema ‘mradi unaanza wakati wowote mapema iwezekanavyo manake wenzetu tayari wanazo pesa hivyo ni sisi kukimbia tuanze mara moja huu mradi, barabara za juu za treni zinatengenezwa viwandani moja kwa moja hivyo kazi ni kuzisimika tu barabarani ndio maana haitochukua muda mrefu kukamilika’Elisha Elia alimuuliza Mwakyembe… 


Je umeme wa bongo tunavyoufahamu na historia yake utafaa kuuwezesha usafiri huo wa Treni kufanya kazi yake? manake treni hizi za kasi zinatumia umeme.Akajibiwa ‘hawatotumia umeme wa TANESCO, watatumia umeme wa solar na vyanzo vingine vya umeme ili isitokee treni ikasimama katikati manake umeme ni lazima uwepo kwa saa 24′

Kazi hii ya ujenzi wa barabara za juu za treni na treni zenyewe Dar es salaam itafanywa na jopo la wawekezaji ambao tayari wameshakubali kuwa tayari kuifanya hii kazi kwa kuanzia Dar es salaam, baadae Arusha kisha Mwanza na kwa Dar es salaam mradi huu kwa kuanzia utatoa ajira kwa zaidi ya watu elfu moja.


Chanzo: Jamiiforums

Related

News 995125534872482044

Post a Comment Default Comments

Thanks for stopping by,kindly drop your comment♥
❶ Don't use foul or abusive language
❷ Please ''Do Not Spam''

Comments may be removed if found to be gratuitously offensive, off-point, or simply not cool.

emo-but-icon

Recent Posts

RSS Feed Widget

Featured Blog List

 • Ajirablog
  What To Consider Before Transitioning To A Work From Home Job - Work from home does have its advantages - zero travel time and fuel cost; no dress code; a cozy and convenient work space; and the absence of office politics...
 • Allyspeaks.com | Everything about blogging to Help You Make Money
  How to Start a Business Online - Step 1: Find a need and fill it Most people who are just starting out make the mistake of looking for a product first, and a market second. To boost you...
 • BongoSwaggz.Com
  PICHA TATA ZA STAA HUYU ZA SAMBAA MITANDAONI!! JIONEE MWENYEWE - Picha tata za aina yake za mwanadada ambaye ni SOCIALITE mweusi kutoka United States of America (USA), Ravie Roso, zimemfanya mdada apate Followers weng...
 • How To Delete Instagram
  How to delete instagram Account - If you want to delete your Instagram account, follow the following steps to achieve this: *Step One:* Sign in to your Instagram account by entering your...
 • Nafasi za Kazi - Nafasi za Ajira Tanzania
  Micro Loan Officers - AccessBank Tanzania is a full commercial bank providing micro, small and medium-sized enterprises (MSMEs) with a broad range of appropriate financial servi...
 • Tech news and Reviews
  Microsoft's CEO "Satya Nadella" Outlines His Vision For Microsoft - Microsoft's new CEO Satya Nadella participated in his very first earnings call with analysts Thursday as chief executive. The software maker reported st...
 • wavuti
  -
item