Bongotoday

Moyes Afukuzwa rasmi na Manchester United

BREAKING NEWS: Moyes Afukuzwa rasmi na Manchester United DAVID MOYES afikuzwa rasmi kama kocha wa kl...

BREAKING NEWS: Moyes Afukuzwa rasmi na Manchester United

DAVID MOYES afikuzwa rasmi kama kocha wa klubu ya Manchester United, Moyes ambae hajamaliza hata mwaka mmoja akiwa na united, kuanzia leo moyes sio tena kocha wa united. DAVID MOYES

Moyes ambae hapo awali alitokea Everton na kuhamia united kwa kuoewa mkataba wa miaka sita baada ya Sir. Alex furguson kustaafu.

Manchester united wamethibitisha habari za kufukuzwa kwa David moyes kupitia ukurasa wao wa twitter asubuhi ya leo majira ya saa 8.30 am, japo ripoti za kufukuzwa kwake zilianza kuzagaa mitandaoni masaa 24 kabla ya taarifa rasmi hii ikiwa ni baada ya united kufungwa bao 2-0 na everton.Katika taarifa hiyo fupi iliyotolewa kupitia mtandao wa twitter, United wamemshukuru moyes kwa kazi yake nzuri aliyo ionyesha kwa klubu katika muda wake wote alio kuwa na timu.

Mchezaji wa zamani wa united "Gary Neville" alitoa maoni yake kwenye Monday Night Footbal Tvshow na kusema kuwa Moyes anastahili kupewa muda zaidi kuonyesha uwezoi wake kama ilivyo kuwa kwa Furguson.

Related

Sports 2903430607430164536

Post a Comment Disqus Comments

Recent Posts

RSS Feed Widget

Featured Blog List

 • Ajirablog
  What To Consider Before Transitioning To A Work From Home Job - Work from home does have its advantages - zero travel time and fuel cost; no dress code; a cozy and convenient work space; and the absence of office politics...
 • Allyspeaks.com | Everything about blogging to Help You Make Money
  How to Start a Business Online - Step 1: Find a need and fill it Most people who are just starting out make the mistake of looking for a product first, and a market second. To boost you...
 • BongoSwaggz.Com
  Njia nzuri ya kumfanya mwanamke afike kileleni haraka, JE ungependa kuijua? Cheki Hapa - "Kuna njia mbalimbali za kumuongezea wigo mwanamke kufika kileleni na kuna kitu kimoja wanawake wote husema, "Kufika kileleni huitaji utulivu wa akili na ...
 • How To Delete Instagram
  How to delete instagram Account - If you want to delete your Instagram account, follow the following steps to achieve this: *Step One:* Sign in to your Instagram account by entering your...
 • Nafasi za Kazi - Nafasi za Ajira Tanzania
  Micro Loan Officers - AccessBank Tanzania is a full commercial bank providing micro, small and medium-sized enterprises (MSMEs) with a broad range of appropriate financial servi...
 • Tech news and Reviews
  Microsoft's CEO "Satya Nadella" Outlines His Vision For Microsoft - Microsoft's new CEO Satya Nadella participated in his very first earnings call with analysts Thursday as chief executive. The software maker reported st...
 • wavuti
  -
item