Bongotoday

Manchester United 4-0 Norwich: Rooney na Mata wampa Giggs ushindi wa kwanza

Ryan Giggs ameanza vizuri kama kocha wa Manchester United katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya Norw...

Ryan Giggs ameanza vizuri kama kocha wa Manchester United katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya Norwich ambao wako hatiani kushuka daraja kwa kuwafunga goli 4 - 0.

Manchester United 4-0 Norwich

Katika mchezo wa leo wa united, ni watu wengi sana walitaka kushuhudia mchezo wa kwanza wa Ryan Giggs akiwa kama kocha wa muda baada ya kuteuliwa kushikilia timu hadi pale atakapo letwa kocha mpya.

Wayne Rooney ndio aliye fungua uwanja wa magoli kwa united baada ya kufunga mkwaju wa penalti katika dakika ya 41" na baadae kufunga bao la pili mnamo dakika ya 48".

Giggs alifanya mabadiliko kwa kumtoa Welbeck na kumuingiza juan mata katika dakika ya 60" ya mchezo. Ndani ya dakika 3 tu baada ya  mata kuingia uwanjani alipata goli la 3 ikiwa ni dk ya 63".

Mambo yalizidi kuwa mabaya kwa Norwich baada ya juan mata kufunga goli la 4 katika dakika ya 73' na kufanya matokeo kuwa 4-0 hadi mchezo una malizika,

Giggs amefungua ukurasa mpya kwa ushindi mzuri wa kishindo kabisa dhidi ya Norwich. Bila shaka mwanzo huu una ashiria kuwa anaweza kazi.Related Posts: 
1. Everton yapokea kipigo cha goli 2 - 0 dhidi ya Southampton
2.  Manchester United na David Moyes wamaliza makubaliano ya kuvunja mkataba 
3.  RYAN GIGGS Ateuliwa kuwa Kocha wa Muda wa United

Related

Sports 4624113480365486834

Post a Comment Disqus Comments

Jiunge Nasi FB Bonyeza "LIKE" Hapa

Jiunge Nasi FB Bonyeza "LIKE" Hapa

Recent Posts

RSS Feed Widget

Featured Blog List

 • Ajirablog
  How to Avoid Interview Stress - Are you looking for a job and stressed over interviewing? You're not alone. Job interviews can be tough, even if you have gone on a lot of them. The high lev...
 • Allyspeaks.com | Everything about blogging to Help You Make Money
  How to Start a Business Online - Step 1: Find a need and fill it Most people who are just starting out make the mistake of looking for a product first, and a market second. To boost you...
 • BongoSwaggz.Com
  INASIKITISHA ! POLISI WA KIKE ANAYEDAIWA KUIBA MTOTO AKAMATWA..MCHEKI HAPA - SIKU chache baada ya kukamatwa kwa askari wa Jeshi la Polisi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kilwai mwenye namba WP 5367 na picha yake kudaiwa ‘kuminyiwa...
 • How To Delete Instagram
  How to delete instagram Account - If you want to delete your Instagram account, follow the following steps to achieve this: *Step One:* Sign in to your Instagram account by entering your...
 • Nafasi za Kazi - Nafasi za Ajira Tanzania
  Licensing And Enforcement Manager - The Capital Markets and Securities Authority was established under the CMS Act No.5 of 1994 for the purpose of designing and implementing purposeful measur...
 • Tech news and Reviews
  Microsoft's CEO "Satya Nadella" Outlines His Vision For Microsoft - Microsoft's new CEO Satya Nadella participated in his very first earnings call with analysts Thursday as chief executive. The software maker reported st...
 • wavuti
  -
item