Bongotoday

Mastaa wa kenya bwana - Huddah awa Good Girl na Corazon Kwamboka achukua Mikoba

Tulisha zoea kuskia vituko vya staa toka kenya "Huddah Monroes" kila kukicha kwenye mitand...

Tulisha zoea kuskia vituko vya staa toka kenya "Huddah Monroes" kila kukicha kwenye mitandao, hususani Twitter. Lakini hivi sasa huddah ameamua kubadilika na kuachana na mambo yake ya mitandaoni.Lakini cha ajabu msichana mrembo mstaarabu "Miss Corazon Kwamboka" ambae kazi yake ni Model nae ameamua kuchukua mikoba ya Huddah na kuwa Bad Girl hii ikiwa ni wiki chache tu tangu aachie video yake akiwa ana kata mauno huku amevalia Chupi tu.


 Hii ni picha ya mwana dada Corazon aliyo shoot na kampuni ya "buort studios" akiwa kwenye style ya Bottoms Upp... Kweli umaarufu kazi sanaRelated Posts:
>> Rihanna apiga picha akiwa "Topless" kwenye jarida la Vogue Brazil


Related

Entertainment 1625127053998569941

Post a Comment Disqus Comments

Jiunge Nasi FB Bonyeza "LIKE" Hapa

Jiunge Nasi FB Bonyeza "LIKE" Hapa

Recent Posts

RSS Feed Widget

Featured Blog List

 • Ajirablog
  How to Avoid Interview Stress - Are you looking for a job and stressed over interviewing? You're not alone. Job interviews can be tough, even if you have gone on a lot of them. The high lev...
 • Allyspeaks.com | Everything about blogging to Help You Make Money
  How to Start a Business Online - Step 1: Find a need and fill it Most people who are just starting out make the mistake of looking for a product first, and a market second. To boost you...
 • BongoSwaggz.Com
  WANAWAKE WENGI SIKU HIZI WAMEKUWA MALIMBUKENI WA MITANDAO YA KIJAMII...CHEKI HAPA - Kuna mdada mmoja nilisoma naye chuo miaka fulani hapo nyuma, sasa jana katika pilikapilika zangu mjini, tukakutana ghafla maeneo fulani, kwa hiyo tukaanza...
 • How To Delete Instagram
  How to delete instagram Account - If you want to delete your Instagram account, follow the following steps to achieve this: *Step One:* Sign in to your Instagram account by entering your...
 • Nafasi za Kazi - Nafasi za Ajira Tanzania
  Licensing And Enforcement Manager - The Capital Markets and Securities Authority was established under the CMS Act No.5 of 1994 for the purpose of designing and implementing purposeful measur...
 • Tech news and Reviews
  Microsoft's CEO "Satya Nadella" Outlines His Vision For Microsoft - Microsoft's new CEO Satya Nadella participated in his very first earnings call with analysts Thursday as chief executive. The software maker reported st...
 • wavuti
  -
item