Bongotoday

Azam FC wakamilisha usajili wa mshambuliaji "Didier Kavumbagu" aliyekuwa Yanga

April 29, 2021 - Azam FC wakamilisha usajili wa mshambuliaji " Didier Kavumbagu " aliyekuw...

April 29, 2021 - Azam FC wakamilisha usajili wa mshambuliaji "Didier Kavumbagu" aliyekuwa Yanga

Klabu ya Azam FC imemsajili  rasmi mshambuliaji "Didier Kavumbagu" aliye kuwa akiichezea klabu ya yanga. Mchezaji huyu ambae anatokea nchini Burundi  hivi sasa sio tena mchezaji wa yanga bali ni mchezaji wa Azam Fc.Meneja wa Azam FC Jemedari Said amethibitisha habari hizi nakusema kwamba mshambuliaji Didier Kavumbagu amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja.

“Ni kweli Kavumbagu tumemalizana nae na amesaini mkataba wa mwaka mmoja. Taarifa zaidi zitatolewa baadae.” alisema Jemedari Said

Hii ina maanisha kuwa  "Didier Kavumbagu" ataitumikia klabu ya Azam Fc katika msimu ujao.Jiunge na Bongotoday kwenye Twitter na Facebook upate stori usiku na mchana baada tu ya stori hizo kutokea.


Related Posts:

1. Azam Fc ndio Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2013/2014 

2.  Azam FC yaweka rekodi barani afrika kwakumiliki basi la kisasa zaidi

3.  Azam, Mbeya City topple Yanga

4.  Pambano La Azam na Yanga Laingiza Mil 138

Related

Sports 519710260614852626

Post a Comment Disqus Comments

Recent Posts

RSS Feed Widget

Featured Blog List

 • Ajirablog
  What To Consider Before Transitioning To A Work From Home Job - Work from home does have its advantages - zero travel time and fuel cost; no dress code; a cozy and convenient work space; and the absence of office politics...
 • Allyspeaks.com | Everything about blogging to Help You Make Money
  How to Start a Business Online - Step 1: Find a need and fill it Most people who are just starting out make the mistake of looking for a product first, and a market second. To boost you...
 • BongoSwaggz.Com
  Njia nzuri ya kumfanya mwanamke afike kileleni haraka, JE ungependa kuijua? Cheki Hapa - "Kuna njia mbalimbali za kumuongezea wigo mwanamke kufika kileleni na kuna kitu kimoja wanawake wote husema, "Kufika kileleni huitaji utulivu wa akili na ...
 • How To Delete Instagram
  How to delete instagram Account - If you want to delete your Instagram account, follow the following steps to achieve this: *Step One:* Sign in to your Instagram account by entering your...
 • Nafasi za Kazi - Nafasi za Ajira Tanzania
  Micro Loan Officers - AccessBank Tanzania is a full commercial bank providing micro, small and medium-sized enterprises (MSMEs) with a broad range of appropriate financial servi...
 • Tech news and Reviews
  Microsoft's CEO "Satya Nadella" Outlines His Vision For Microsoft - Microsoft's new CEO Satya Nadella participated in his very first earnings call with analysts Thursday as chief executive. The software maker reported st...
 • wavuti
  -
item