clean-5

News

Budaya

Kuliner

Kerajaan

kota

Suku

» » Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa KikatiliAliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza ndg CLEMENT MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kisesa jijini Mwanza.

Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na hapo jana mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi ipo mahakamani?

Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.

Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga amesema kwamba ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia kupata habari zaidi.

Mwili wa Marehemu ukiwa bado katika eneo la tukio

About Bongotoday

An Independent website dedicated to News, Events, Entertainment, Politics, Lifestyle, Fashion, Beauty, Technology, Inspiration and yes... Gossip! All around the world

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Thanks for stopping by,kindly drop your comment♥
❶ Don't use foul or abusive language
❷ Please ''Do Not Spam''

Comments may be removed if found to be gratuitously offensive, off-point, or simply not cool.

Tech News